Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 12:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Ndipo Mfalme Yehoashi wa Yuda akachukua matoleo yote matakatifu ambayo mababu zake Yehoshafati, Yehoramu, na Ahazia, wafalme wa Yuda, walikuwa wameyatakasa na pia matoleo yake mwenyewe matakatifu na dhahabu yote iliyokuwa katika hazina za nyumba ya Yehova na katika nyumba ya mfalme,* akampelekea Hazaeli mfalme wa Siria.+ Kwa hiyo Hazaeli akaondoka Yerusalemu.

  • 2 Wafalme 16:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kisha Ahazi akachukua fedha na dhahabu iliyokuwa katika nyumba ya Yehova na katika hazina za nyumba ya mfalme,* akampelekea mfalme wa Ashuru kama rushwa.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 16:2, 3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Ndipo Asa akatoa fedha na dhahabu kutoka katika hazina za nyumba ya Yehova+ na nyumba ya* mfalme na kumpelekea Mfalme Ben-hadadi wa Siria,+ aliyekuwa akiishi Damasko, akamwambia: 3 “Kuna mkataba* kati yangu na wewe na kati ya baba yangu na baba yako. Ninakutumia fedha na dhahabu. Njoo, vunja mkataba wako* na Mfalme Baasha wa Israeli, ili aondoke kwangu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki