33 Je, kuna mungu yeyote kati ya miungu ya mataifa ambaye amewahi kuiokoa nchi yake kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru? 34 Iko wapi miungu ya Hamathi+ na Arpadi? Iko wapi miungu ya Sefarvaimu,+ Hena, na Iva? Je, imeokoa Samaria kutoka mikononi mwangu?+