Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 32:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Basi Yehova akamwokoa Hezekia na wakaaji wa Yerusalemu kutoka mikononi mwa Mfalme Senakeribu wa Ashuru na kutoka mikononi mwa wengine wote na kuwapumzisha pande zote.

  • Isaya 10:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Kwa hiyo Bwana Mwenye Enzi Kuu, Yehova wa majeshi, anasema: “Msiogope, watu wangu mnaokaa Sayuni, kwa sababu ya Mwashuru, aliyekuwa akiwapiga kwa fimbo+ na kuinua gongo lake dhidi yenu kama Misri ilivyofanya.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki