-
1 Mambo ya Nyakati 26:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Kura ya upande wa mashariki ilimwangukia Shelemia. Wakapiga kura kwa ajili ya Zekaria mwanawe, mshauri mwenye busara, aliangukiwa na kura ya upande wa kaskazini.
-
-
1 Mambo ya Nyakati 26:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Hivyo ndivyo vilivyokuwa vikundi vya walinzi wa malango vya wana wa Wakora na wa Wamerari.
-