-
1 Mambo ya Nyakati 5:23, 24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Wazao wa nusu ya kabila la Manase+ waliishi katika nchi hiyo kuanzia Bashani mpaka Baal-hermoni na Seniri na Mlima Hermoni.+ Walikuwa wengi sana. 24 Hawa ndio waliokuwa viongozi wa koo* zao: Eferi, Ishi, Elieli, Azrieli, Yeremia, Hodavia, na Yahdieli; walikuwa mashujaa hodari, wanaume maarufu, na viongozi wa koo* zao.
-