-
1 Wafalme 7:13, 14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Mfalme Sulemani akawatuma watu wamwite Hiramu,+ akaletwa kutoka Tiro. 14 Alikuwa mwana wa mwanamke mjane kutoka katika kabila la Naftali, na baba yake alikuwa mfua shaba+ kutoka Tiro; Hiramu alikuwa na ustadi wa hali ya juu, uelewaji,+ na uzoefu wa kutengeneza vitu vya shaba vya kila aina. Basi akaja kwa Mfalme Sulemani na kufanya kazi yake yote.
-