Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 4:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Nanyi mnapoinua macho yenu kutazama mbinguni na kuona jua na mwezi na nyota—jeshi lote la mbinguni—msishawishiwe kuviinamia na kuviabudu.+ Yehova Mungu wenu amewapa watu wote duniani* vitu hivyo.

  • 2 Wafalme 23:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Basi akawaondoa kabisa makuhani wa miungu ya kigeni, waliochaguliwa na wafalme wa Yuda kufukiza moshi wa dhabihu mahali pa juu katika majiji ya Yuda na maeneo yanayozunguka Yerusalemu, na pia wale waliofukiza moshi wa dhabihu kwa Baali, kwa jua, kwa mwezi, kwa makundi ya nyota za unajimu, na kwa jeshi lote la mbinguni.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki