-
2 Wafalme 23:30, 31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Basi watumishi wake wakasafirisha maiti yake katika gari la vita kutoka Megido, wakamleta Yerusalemu na kumzika katika kaburi lake. Kisha watu nchini wakamchukua Yehoahazi mwana wa Yosia wakamtia mafuta na kumweka kuwa mfalme baada ya baba yake.+
31 Yehoahazi+ alikuwa na umri wa miaka 23 alipoanza kutawala, naye alitawala kwa miezi mitatu huko Yerusalemu. Mama yake aliitwa Hamutali+ binti ya Yeremia kutoka Libna.
-