Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 74:4-7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Maadui wako walinguruma ndani ya mahali pako pa mkutano.*+

      Wameweka bendera zao wenyewe ziwe ishara humo.

       5 Walikuwa kama watu wanaotumia mashoka kufyeka msitu wenye miti mingi.

       6 Walivunjavunja michongo yake yote+ kwa mashoka na fito za chuma.

       7 Walichoma moto mahali pako patakatifu.+

      Walichafua hema la ibada lenye jina lako, wakaliangusha chini.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki