-
2 Mambo ya Nyakati 11:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Rehoboamu aliishi Yerusalemu na kujenga majiji yenye ngome huko Yuda.
-
-
2 Mambo ya Nyakati 11:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Pia, aliimarisha maeneo yenye ngome, akawaweka makamanda humo na kuwapa chakula na mafuta na divai,
-