Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 25:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Siku kumi hivi baadaye, Yehova akampiga Nabali, naye akafa.

  • 1 Wafalme 14:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Yeroboamu alitawala kwa miaka 22, kisha akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake;+ na Nadabu mwanawe akawa mfalme baada yake.+

  • Matendo 12:21-23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Siku moja iliyochaguliwa, Herode alivaa mavazi ya kifalme akaketi kwenye kiti cha hukumu na kuanza kuwahutubia watu wote. 22 Ndipo watu waliokusanyika wakaanza kusema kwa sauti kubwa: “Hii ni sauti ya mungu, si ya mwanadamu!” 23 Papo hapo, malaika wa Yehova* akampiga, kwa sababu hakumpa Mungu utukufu, naye akaliwa na wadudu akafa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki