Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 9:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 na pia majiji yote ya Sulemani yenye maghala, majiji ya magari ya vita,+ majiji ya wapanda farasi, na chochote ambacho Sulemani alitamani kujenga huko Yerusalemu, Lebanoni, na katika nchi yote iliyokuwa chini ya mamlaka yake.

  • 2 Mambo ya Nyakati 8:3, 4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Isitoshe, Sulemani alienda Hamath-soba na kuliteka jiji hilo. 4 Kisha akajenga tena jiji la Tadmori kule nyikani na majiji yote yenye maghala+ aliyokuwa amejenga Hamathi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki