-
2 Mambo ya Nyakati 11:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Rehoboamu aliishi Yerusalemu na kujenga majiji yenye ngome huko Yuda.
-
-
2 Mambo ya Nyakati 11:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 naye akapeleka ngao kubwa na mikuki katika majiji yote mbalimbali; akayaimarisha kwa kiwango kikubwa sana. Na majiji ya Yuda na Benjamini yakaendelea kuwa yake.
-