Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 57:4, 5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Mnamkejeli nani?

      Ni nani mnayemfungulia kinywa wazi na kumtolea ulimi?

      Je, ninyi si watoto wa ukosaji,

      Watoto wa udanganyifu,+

       5 Wale wanaowaka tamaa kati ya miti mikubwa,+

      Chini ya kila mti wenye majani mengi,+

      Wanaowachinja watoto kwenye mabonde,*+

      Chini ya mipasuko ya majabali?

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki