-
Ezra 4:23, 24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Sasa baada ya nakala ya barua rasmi ya Mfalme Artashasta kusomwa mbele ya Rehumu na mwandishi Shimshai na wenzao, mara moja wakaenda Yerusalemu na kuwalazimisha Wayahudi waache kujenga. 24 Ndipo kazi ya kujenga nyumba ya Mungu, iliyokuwa Yerusalemu, iliposimamishwa; na haikuendelea mpaka mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Dario wa Uajemi.+
-