Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezra 3:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Wakawapa pesa wakataji wa mawe+ na mafundi,+ na kuwapa Wasidoni na Watiro vyakula na vinywaji na mafuta ili walete mbao za mierezi kupitia bahari kutoka Lebanoni mpaka Yopa,+ kwa ruhusa ya Mfalme Koreshi wa Uajemi.+

  • Ezra 5:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Tungependa kumjulisha mfalme kwamba tulienda katika mkoa* wa Yuda kwenye nyumba ya yule Mungu mkuu, nayo inajengwa kwa mawe makubwa yaliyobingirishwa na kuwekwa mahali pake, na mbao zinawekwa katika kuta. Watu hao wanafanya kazi hiyo kwa bidii na inasonga mbele kwa jitihada zao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki