4 Mtamtoa mwanakondoo dume mmoja asubuhi, na mwanakondoo dume wa pili mtamtoa jioni kabla ya giza kuingia,+ 5 pamoja na toleo la nafaka la sehemu ya kumi ya kipimo cha efa moja ya unga laini uliochanganywa na robo ya hini ya mafuta ya zeituni zilizopondwa.+