Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezra 4:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Ndipo kazi ya kujenga nyumba ya Mungu, iliyokuwa Yerusalemu, iliposimamishwa; na haikuendelea mpaka mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Dario wa Uajemi.+

  • Ezra 5:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Lakini Mungu alikuwa pamoja na* wazee wa Wayahudi,+ nao hawangeweza kuwazuia kabla ya kumwandikia Dario na kupata barua rasmi kuhusu jambo hilo kutoka kwake.

  • Ezra 6:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Ndipo Mfalme Dario akatoa agizo, nao wakafanya uchunguzi katika jengo la hifadhi* ambamo hazina ziliwekwa huko Babiloni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki