Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wakorintho 11:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Na bado, nilipokuwa pamoja nanyi na nikapatwa na uhitaji, sikuwa mzigo kwa mtu yeyote, kwa maana ndugu waliotoka Makedonia walinipatia mahitaji yangu kwa wingi.+ Ndiyo, katika kila njia sikutaka kuwa mzigo kwenu nami nitaendelea kufanya hivyo.+

  • 2 Wakorintho 12:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Tazama! Hii ni mara ya tatu niliyo tayari kuja kwenu, nami sitakuwa mzigo. Kwa kuwa ninawatafuta ninyi, si mali zenu;+ kwa maana watoto+ hawatarajiwi kuweka akiba kwa ajili ya wazazi wao, bali wazazi kwa ajili ya watoto wao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki