-
Nehemia 12:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Mwishowe yale makundi mawili yaliyoimba nyimbo za shukrani yakasimama mbele ya nyumba ya Mungu wa kweli; mimi pia nikasimama pamoja na nusu ya watawala wasaidizi waliokuwa pamoja nami,
-
-
Nehemia 12:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 na Maaseya, Shemaya, Eleazari, Uzi, Yehohanani, Malkiya, Elamu, na Ezeri. Na waimbaji hao wakaimba kwa sauti kubwa wakiongozwa na Izrahia.
-