-
Yoshua 7:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Ndipo Yoshua akararua mavazi yake na kuanguka chini kifudifudi mbele ya Sanduku la Yehova mpaka jioni, yeye pamoja na wazee wa Israeli, nao wakaendelea kujirushia mavumbi vichwani.
-
-
Yona 3:5, 6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Watu wa Ninawi wakamwamini Mungu,+ nao wakatangaza watu wafunge na kuvaa magunia, kuanzia aliye mkubwa zaidi hadi aliye mdogo zaidi. 6 Ujumbe huo ulipomfikia mfalme wa Ninawi, aliinuka kutoka kwenye kiti chake cha ufalme, akavua vazi lake la kifalme, akavaa nguo za magunia, na kuketi katika majivu.
-