Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 9:10-13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Na kutoka kwa makuhani, kulikuwa na Yedaya, Yehoyaribu, Yakini,+ 11 Azaria mwana wa Hilkia mwana wa Meshulamu mwana wa Sadoki mwana wa Merayothi mwana wa Ahitubu, kiongozi wa nyumba ya* Mungu wa kweli, 12 Adaya mwana wa Yerohamu mwana wa Pashuri mwana wa Malkiya, Maasai mwana wa Adieli mwana wa Yahzera mwana wa Meshulamu mwana wa Meshilemithi mwana wa Imeri, 13 na ndugu zao, viongozi wa koo* zao, mashujaa 1,760, wanaume wenye uwezo waliokuwa tayari kwa ajili ya utumishi wa nyumba ya Mungu wa kweli.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki