Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezra 10:14, 15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Basi, tafadhali, acha wakuu wetu waliwakilishe kutaniko lote;+ na watu wote katika majiji yetu ambao wameoa wanawake wa kigeni waje wakati uliowekwa, pamoja na wazee na waamuzi wa kila jiji, mpaka tutakapoituliza hasira inayowaka ya Mungu wetu kuhusiana na jambo hili.”

      15 Hata hivyo, Yonathani mwana wa Asaheli na Yahzeya mwana wa Tikva wakapinga jambo hilo, na Meshulamu na Shabethai, waliokuwa Walawi,+ wakawaunga mkono.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki