-
Nehemia 2:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Hatimaye nikawaambia: “Mnaona hali mbaya sana tunayokabili, jinsi Yerusalemu lilivyobaki magofu na malango yake yameteketezwa kwa moto. Njooni, tujenge upya kuta za Yerusalemu, ili aibu hii isiendelee.”
-