Esta 6:7, 8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Basi Hamani akamwambia mfalme: “Mtu ambaye mfalme angependa kumheshimu, 8 na aletewe mavazi ya kifalme+ ambayo mfalme huvaa na farasi ambaye humbeba mfalme, farasi mwenye taji la kifalme kichwani.
7 Basi Hamani akamwambia mfalme: “Mtu ambaye mfalme angependa kumheshimu, 8 na aletewe mavazi ya kifalme+ ambayo mfalme huvaa na farasi ambaye humbeba mfalme, farasi mwenye taji la kifalme kichwani.