Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 8:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Maandishi* ya agizo hilo yalipaswa kutangazwa kuwa sheria katika mikoa yote.* Watu wote walipaswa kutangaziwa agizo hilo, ili Wayahudi wajitayarishe siku hiyo kulipiza kisasi dhidi ya maadui wao.+

  • Zaburi 149:6, 7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Nyimbo zinazomsifu Mungu na ziwe kooni mwao,

      Na upanga wenye makali pande mbili uwe mkononi mwao,

       7 Ili kuyalipiza kisasi mataifa

      Na kuyaadhibu mataifa,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki