Esta 5:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Mara tu mfalme alipomwona Malkia Esta akiwa amesimama kwenye ua, akafurahi kumwona, naye mfalme akamnyooshea Esta fimbo yake ya ufalme ya dhahabu+ iliyokuwa mkononi mwake. Basi Esta akakaribia na kuigusa ncha ya fimbo hiyo. Esta 8:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Mfalme akamnyooshea Esta fimbo ya ufalme ya dhahabu,+ naye Esta akainuka na kusimama mbele ya mfalme.
2 Mara tu mfalme alipomwona Malkia Esta akiwa amesimama kwenye ua, akafurahi kumwona, naye mfalme akamnyooshea Esta fimbo yake ya ufalme ya dhahabu+ iliyokuwa mkononi mwake. Basi Esta akakaribia na kuigusa ncha ya fimbo hiyo.
4 Mfalme akamnyooshea Esta fimbo ya ufalme ya dhahabu,+ naye Esta akainuka na kusimama mbele ya mfalme.