-
Mwanzo 41:42, 43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Halafu Farao akaivua pete yake ya muhuri kutoka kwenye mkono wake mwenyewe na kumvisha Yosefu mkononi, akamvisha pia mavazi ya kitani bora na mkufu wa dhahabu shingoni mwake. 43 Zaidi ya hayo, akampandisha katika gari lake la pili la heshima, na watu walikuwa wakimtangulia na kusema kwa sauti, “Avrekh!”* Kwa hiyo Farao akamweka kuwa msimamizi wa nchi yote ya Misri.
-