Kumbukumbu la Torati 28:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Mtapapasa-papasa wakati wa adhuhuri, kama kipofu anavyopapasa-papasa gizani,+ nanyi hamtafanikiwa katika jambo lolote mnalofanya; na watu watawalaghai na kuwanyang’anya vitu vyenu daima, na hakuna atakayewaokoa.+
29 Mtapapasa-papasa wakati wa adhuhuri, kama kipofu anavyopapasa-papasa gizani,+ nanyi hamtafanikiwa katika jambo lolote mnalofanya; na watu watawalaghai na kuwanyang’anya vitu vyenu daima, na hakuna atakayewaokoa.+