Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 32:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Kwa maana mnara wenye ngome umeachwa;

      Jiji lenye kelele limeachwa.+

      Ofeli+ na mnara wa mlinzi vimebaki ukiwa daima,

      Mahali panapopendwa na punda wa mwituni,

      Malisho ya mifugo,+

  • Yeremia 14:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Punda wa mwituni wanasimama kwenye vilima vitupu.

      Wanahemahema kama mbwamwitu;

      Macho yao yanadhoofika kwa sababu hakuna majani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki