Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 20:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Na mambo mengine katika historia ya Hezekia, ukuu wake wote na jinsi alivyotengeneza kile kidimbwi+ na ule mfereji na kuleta maji jijini,+ je, hayajaandikwa katika kitabu cha historia ya nyakati za wafalme wa Yuda?

  • 2 Mambo ya Nyakati 32:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Hezekia ndiye aliyeziba chemchemi ya juu ya maji+ ya Gihoni+ na kuyaelekeza moja kwa moja chini upande wa magharibi katika Jiji la Daudi,+ na Hezekia alifanikiwa katika kila kazi aliyofanya.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki