-
Zaburi 69:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Wale wanaoketi kwenye lango la jiji huzungumza kunihusu,
Na walevi huimba juu yangu katika nyimbo zao.
-
-
Maombolezo 3:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Nimekuwa kichekesho kwa mataifa yote, kichwa cha wimbo wao mchana kutwa.
-