Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 6:25-27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Usiutamani urembo wake moyoni mwako+

      Wala kukubali akunase kwa macho yake yanayovutia,

      26 Kwa maana kahaba humfanya mtu abaki tu na kipande cha mkate,+

      Lakini mke wa mwanamume mwingine huuwinda uhai wenye* thamani.

      27 Je, mtu anaweza kukusanya moto kwenye kifua chake na mavazi yake yasiungue?+

  • Methali 7:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Nyumba yake huongoza Kaburini;*

      Hushuka chini kwenye vyumba vya ndani vya kifo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki