Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 9:22-24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Yote ni sawa. Ndiyo sababu ninasema,

      ‘Yeye huwaangamiza wasio na hatia* na waovu pia.’

      23 Mafuriko ya ghafla yakisababisha kifo ghafla,

      Ataidhihaki hali ya kukata tamaa ya watu wasio na hatia.

      24 Dunia imetiwa mikononi mwa mwovu;+

      Huwafumba macho* waamuzi wake.

      Kama si yeye, ni nani basi?

  • Ayubu 34:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Kwa maana amesema, ‘Mwanadamu hafaidiki

      Kwa kujitahidi kumpendeza Mungu.’+

  • Zaburi 73:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kwa hakika nimeusafisha moyo wangu bure

      Na kunawa mikono yangu katika ukosefu wa hatia.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki