-
Luka 12:55Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
55 Nanyi mnapoona upepo wa kusini ukivuma, ninyi husema, ‘Kutakuwa na joto sana,’ na inakuwa hivyo.