-
Nahumu 2:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Simba aliwararulia watoto wake mawindo ya kutosha,
Akayakaba pumzi mawindo kwa ajili ya majike yake.
Alijaza mawindo katika mapango yake,
Makao yake akayajaza wanyama walioraruliwa.
-