Isaya 21:13, 14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Tangazo dhidi ya jangwa tambarare: Mtakaa usiku kucha msituni katika nchi tambarare ya jangwani,Enyi misafara ya Dedani.+ 14 Leteni maji ili mkampokee mwenye kiu,Enyi wakaaji wa nchi ya Tema,+Mleteeni mkate yule anayekimbia.
13 Tangazo dhidi ya jangwa tambarare: Mtakaa usiku kucha msituni katika nchi tambarare ya jangwani,Enyi misafara ya Dedani.+ 14 Leteni maji ili mkampokee mwenye kiu,Enyi wakaaji wa nchi ya Tema,+Mleteeni mkate yule anayekimbia.