-
Zekaria 5:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Halafu nikatazama juu na kuwaona wanawake wawili wakija, nao walikuwa wakipaa katika upepo. Walikuwa na mabawa kama ya korongo. Nao wakakiinua kile chombo na kuruka nacho kati ya dunia na mbingu.
-