Ayubu 1:14, 15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 mjumbe akaja kwa Ayubu na kusema: “Ng’ombe walikuwa wakilima na punda walikuwa wakilisha kando yao 15 Wasabea walipotushambulia na kuwachukua, wakawaua watumishi kwa upanga. Nimeponyoka mimi peke yangu, nami nimekuletea habari.”
14 mjumbe akaja kwa Ayubu na kusema: “Ng’ombe walikuwa wakilima na punda walikuwa wakilisha kando yao 15 Wasabea walipotushambulia na kuwachukua, wakawaua watumishi kwa upanga. Nimeponyoka mimi peke yangu, nami nimekuletea habari.”