-
Ayubu 9:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Zinanyiririka kama mashua za matete,
Kama tai wanaoshuka kwa ghafla kukamata mawindo yao.
-
-
Yeremia 49:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Siku hiyo moyo wa mashujaa wa Edomu
Utakuwa kama moyo wa mwanamke anayezaa.”
-