-
Mwanzo 20:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Na Abrahamu akaanza kumwomba dua Mungu wa kweli, naye Mungu akamponya Abimeleki na mke wake na vijakazi wake, nao wakaanza kuzaa watoto;
-