Ayubu 32:11, 12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Tazameni! Nimesubiri maneno yenu;Niliendelea kusikiliza hoja zenu+Mlipokuwa mkitafuta mambo ya kusema.+ 12 Niliwasikiliza kwa makini,Lakini hakuna yeyote miongoni mwenu aliyeweza kuthibitisha kwamba Ayubu amekosea*Wala kujibu hoja zake.
11 Tazameni! Nimesubiri maneno yenu;Niliendelea kusikiliza hoja zenu+Mlipokuwa mkitafuta mambo ya kusema.+ 12 Niliwasikiliza kwa makini,Lakini hakuna yeyote miongoni mwenu aliyeweza kuthibitisha kwamba Ayubu amekosea*Wala kujibu hoja zake.