27Ilipofika asubuhi, wakuu wote wa makuhani na wazee wa watu wakashauriana pamoja kumhusu Yesu ili auawe.+2 Baada ya kumfunga, wakampeleka na kumkabidhi kwa Pilato, gavana.+
10 Hata hivyo, wakuu wa makuhani na waandishi wakaendelea kusimama na kumshtaki kwa ukali. 11 Ndipo Herode na wanajeshi wake wakamtendea kwa dharau,+ naye Herode akamdhihaki+ kwa kumvika vazi la kifahari na kuagiza arudishwe kwa Pilato.
19 Nami nikamwona yule mnyama wa mwituni na wafalme wa dunia na majeshi yao wamekusanyika pamoja ili kupigana vita na yule anayeketi juu ya farasi na jeshi lake.+