Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 17:12, 13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Sikilizeni! Kuna vurugu za watu wengi,

      Walio na msukosuko kama wa bahari!

      Kuna kelele za mataifa,

      Ambao sauti yao ni kama mngurumo wa maji yenye nguvu!

      13 Mataifa yatatoa sauti kama mngurumo wa maji mengi.

      Atayakemea, nayo yatakimbia mbali sana,

      Yakifukuzwa kama makapi ya milima mbele ya upepo

      Kama mchongoma unaopeperushwa na* upepo wa dhoruba.

  • Isaya 57:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 “Lakini waovu ni kama bahari iliyochafuka ambayo haiwezi kutulia,

      Na maji yake yanaendelea kurusharusha juu magugu ya baharini na matope.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki