1 Wafalme 21:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Yezebeli mke wake akamwambia: “Je, si wewe unayetawala ukiwa mfalme wa Israeli? Inuka, kula chakula, moyo wako na uchangamke. Nitakupa shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli.”+
7 Yezebeli mke wake akamwambia: “Je, si wewe unayetawala ukiwa mfalme wa Israeli? Inuka, kula chakula, moyo wako na uchangamke. Nitakupa shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli.”+