-
1 Samweli 4:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Binti mkwe wake, yaani, mke wa Finehasi, alikuwa mjamzito naye alikuwa karibu kuzaa. Aliposikia kwamba Sanduku la Mungu wa kweli limetekwa na kwamba baba mkwe wake na mume wake wamekufa, akainama na kwa ghafla akapata uchungu wa kuzaa, kisha akazaa.
-