Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 5:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Kwa maana shamba la mizabibu la Yehova wa majeshi ni nyumba ya Israeli;+

      Watu wa Yuda ndilo shamba alilolipenda sana.

      Aliendelea kutumaini haki itendwe,+

      Lakini tazama! kulikuwa na ukosefu wa haki;

      Alitumaini uadilifu ufanywe,

      Lakini tazama! kulikuwa na kilio cha huzuni.”+

  • Yeremia 2:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Nilikupanda kama mzabibu bora mwekundu,+ wote ukiwa mbegu safi;

      Basi umebadilikaje na kuwa machipukizi yaliyoharibika ya mzabibu wa kigeni mbele zangu?’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki