-
Kutoka 12:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 “‘Siku hiyo itakuwa ukumbusho kwenu, nanyi mnapaswa kuisherehekea ikiwa sherehe kwa Yehova katika vizazi vyenu vyote. Kwa kuwa ni sheria ya kudumu, mnapaswa kuisherehekea.
-