Isaya 17:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Mataifa yatatoa sauti kama mngurumo wa maji mengi. Atayakemea, nayo yatakimbia mbali sana,Yakifukuzwa kama makapi ya milima mbele ya upepoKama mchongoma unaopeperushwa na* upepo wa dhoruba.
13 Mataifa yatatoa sauti kama mngurumo wa maji mengi. Atayakemea, nayo yatakimbia mbali sana,Yakifukuzwa kama makapi ya milima mbele ya upepoKama mchongoma unaopeperushwa na* upepo wa dhoruba.