-
1 Samweli 2:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Kisha Hana akasema hivi katika sala:
Kinywa changu kimefunguliwa wazi dhidi ya maadui wangu,
Kwa maana ninashangilia kwa sababu ya matendo yako ya wokovu.
-